Happy Birthday Madame B

Happy Birthday Madame B,Mungu akujalie Maisha Marefu ya Furaha,Afya Njema,Amani na Mafanikio tele!
 
Last edited by a moderator:
Heri ya kuzaliwa Madame B. Maisha mema yenye afya, upendo na furaha....
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • Happy birthday.jpg
    57.1 KB · Views: 45
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Madame B.. Nakutakia kila la heri katika maisha yako..!
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday rafiki.

Mungu akubariki uwezo wa kupambana na changamoto za kila siku.

Mungu akujaalie umri mrefu zaidi ya umri wa Bibi Kidude ( R.I.P).
 
..Madame B ukazidi kufanikiwa katika kila utendalo, maarifa yako na maono yako yakazidi mipaka ya ukiri wako, zaidi ya yote uwe mama mzuri, mwenye hekima, na mkufunzi bora kwa wadogo zako ndani ya jamii..Happy Birthday
 
Madame B ni mmoja wa wadada wanaonipa raha sana kwenye jukwaa moja hapa JF. Nami nakutakia raha nyingi sana siku hii ya kuzaliwa kwako. You are 31 yrs old, aren't you?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…