Happy birth day, wish you all the best.
We're Sagittarius
dogo hiki kibarua 'kimekufaa aisee'...lol
Heeeeeeeey
Afro...jamani kisa cha kuniwekea popobawa??Haya bana we endelea tu kunichukia mi bado nakupenda hata kama hutaki. Ngoja niwahi kujitafutia ile zawadi ili nikubembeleze vizuri baadae.
I LOVE Y'ALL....
Thanks again for making my time here in JF worthwhile.
Be blessed...and stay blessed.
So what is the message here
hehehe bday yako imenikumbusha
ya kwamaba imebaki siku 30 tu mpaka xmass.
sasa nataka zawadi nono ile ile uliyonipa kwenye bday yangu.
halafu ntafikiria kukusamehe..
maana wewe nakutafunia kila kitu ndo maana unaringa..
Zawadi tu dearest...??
Worry not...ndo naenda shopping...will get you something RED umechishe na mapambo ya xmass!!!
hahahahahah
Nimeanzaa kukusamehe kidooonchoo..
ukiwa na muda basi Jpili tukutane kule mahali basi..
tuongee ana kwa ana ni "Emergence"
Hhehehhe...soon utajikuta umerudi kunipenda kupitiliza.
Poa poa dearest...
Nahhh actually mambo yakienda fresh tunaweza kukutana hata leo...
Usisahau kuja na popo bawa....lolmpaka sasa
nakupenda asilimia 11%..
endelea kujipendekeza itaongezeka hahahahaah lol
Haya kwa sasa stintoweza shemiji yako
ananiita maeneo siunajua tena muda huu
Naomba basi tukutane Jpili pale pale pa siku ile..
njoo saa kwenye saa nne basi.. sawa ae..
acha hizo kamanda, mwenzio ana care we unaona ni kibarua. Ndo maana wengine tunashangaa na kuishia kudhani mtu anatumia dawa, kumbe ni manjonjo tu!
NDYOKO
nafikiri hukunielewa
nimesema 'kibarua' na huku nimeweka alama fulani
yeye TF kanielewa,ni lugha tu ya kumtania..
dont take everything so seriously..