asante sana Kipaji Halisi
Today is very special day for you Lady doctor
Few words: We at JF we love you and wish you Happy Birthday to you.
CC: Moderator Paw Dark City Asprin watu8 measkron charminglady Excel Mzee PakaJimmy Mzee wa Rula Preta miss Needy.
Mtambuzi Eiyer Kiranga Smile CHUAKACHARA sweetlady Erickb52 Chocs Kaizer DEMBA kiwatengu shansarie Katavi Matola Mungi Simiyu Yetu Paw King'asti jouneGwalu Filipo marejesho LiverpoolFC Crashwise Daudi Mchambuzi Madame B.
Hivi pacha! huyo shemeg hanifahamu?
nimeshangaa kakutaja peke yako au huja
mwambia kuwa una pacha?
Usijali
Nipo kwaajili yako mpendwa!!
tashukuru sana nimemiss chama langu huko mda hatujaonana bata wakaliwa, tuombe uzima panapo majaaliwa
mamii usijali... ngoja niingie bandarini nikuchomolee hii kitu mpya kabisa!
mamii hii inaitwa buggati veyron.. naomba iwe yako peke yako, mwanao miss neddy asije akakudhulumu, wala mumeo Arushaone asije akaleta ubabe..
Ntuzu nae aione kwa mbali,, mwallu na ntuzu watapewa zao baadae..
HAPPY BIRTH DAY MAMA MKWE!
Heri ya kuzaliwa Lady doctor
Hana la ziada ! Zaidi ya kunitenga!
Namshangaa ilhali mi na yeye hatujakutana Kariakoo.
Hapo sawa, tena nitakuita mkwe kwa herufi kubwa ila Mwanyasi asijue
ma mkwe kwanza shikamoo!
naomba niseme ahsante kwa kunitambua kwamba mimi ndie mmiliki halali wa mwanao miss neddy! kaka yake Ntuzu na dadaye mwallu hawana pingamizi..
sina zaidi mamii... naomba tafadhali ukaribie coffee..!!
usiogope kuongeza mamii.. wewe ndiwe wa pekee kwangu!!
ahsante mama mkwe...
marahaba ba mkwe na shukrani kwa coffee ila utulie maana we sometime ni kichomiz usije ukampa presha baby wangu miss neddy
Hapo sawa, tena nitakuita mkwe kwa herufi kubwa ila Mwanyasi asijue
hahahaaa pacha si unajua tena shemejio furaha ikimzidi sana anasahau na vitu nuhimu....? Mmmsamehe bure kwa leo ila kwa kesho mtoze hela LOL
asante mke mwenza,, hujapitwa sana maana week hii yote nasheherekea birthday yangu
Acha ubazazi! Afu nitakupigia late today.