Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Happy Birthaday shemeji Lady doctor mwenyezi Mungu akujalie uzima, amani, furaha na mafanikio
cc Arushaone mkuu hii shughuli itabidi irudiwe nikija huko
hahahahahahahaha usijari mamiiii ndo nafanya michakato soon namleta rasmi
zawadi ni yako sasa kwa nn utume mtu aje akuchukulie?
Huo utani Lady doctor
yeah nakutania mwaya lol.... Najua wewe ni tallest ahaha
Asante sana ba Paroko ila kondoo wako walitoroka zizini na kuila keki yangu na kudai keki nyingine mtumishi.
Haya "mdogo wangu"
Happy Birthday Lady doctor
kata keki tuleeeasante sana Kipaji Halisi
Asante sana shem.... Kwa heshima yako tutairudia sawaee?
sio niwe dereva tu niwe mmiliki kabisa
Asante shem langu but sijui why huyu nduguyo hajakucc wakati we ni mtu muhimu kwangu