Happy Birthday Lady Doctor.

Last edited by a moderator:
mama unajua hasira si nzuri kabisa!

haya hebu panda garini ma mkwe twende kidogo tukale burger!



ni kigari kidogo tu mama cha shs milioni500... kaa mbele kabisa!

why unipandishe kwenye kigari kidogo tena cha sh. Million 500? Bora hata ungenipandisha kwenye ka maybach exelero
 
why unipandishe kwenye kigari kidogo tena cha sh. Million 500? Bora hata ungenipandisha kwenye ka maybach exelero

mamii si unajua tena mtaani hapa wanga wengi..?

tunatoka tu mara moja.. then jioni, ntakuachii hii uwe dereva kabisaa!!!



inaitwa mc larren mp4..
 
Last edited by a moderator:
Shemeji hongera! Pamoja na kwamba mumeo kule kwenye nakala (cc) kanitenga , but still yet wewe ndiyo unaeshika No 1 ktk list ya main'laws wangu hapa mjengoni .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…