MTM kwa kuweka msisitizo ndiye Mtatiro wa meza kwa leoAisee Hommie!
Hongera kwa siku ya kuzaliwa.
Sababu nyingine ya kukutana na kujadili mada ya kuzidi kulisogelea kaburi.
Mada: Besidei
Location: JJ pa ukweli
Mgeni rasmi: Kimey
Mdadhili: Big Braza ODM
Mtoa mada: Mjukuu Mtiifu Mj1
Mpanga meza: Vere vere GY
Taxi Driver: Mfalme Wa Amani Teamo TI
Mhesabu bili: Crap The Finest
Mlipa bili: Crapiest Fake Ze BigiiRiita
Wageni waalikwa mabibi na mabwana: MTM, LD, Festiledi, JS, Askofu, Kaizer, Fidel,....
Arusha Wing Nao Mnakaribishwa makao makuu...Mje na Invizibo
Happy Besdei Homu boy!
:clap2:😛opcorn::roll::tea::laugh::msela::drum::behindsofa::cheer2::lalala::A S-heart-2::A S kiss::bange::violin:😛eep::emptybath:
Pamoja hommie! ThanxHappy b/day buddy!
Thanx Pretty, maisha yenyewa ya Dowans haya cjui ka tutaona vitukuu!........happy birthday kimey, Mungu akupe uzima uishi miaka mingi uone wajukuu wa vitukuu yako.
Homu boy mi hapa siongezi kitu ujumbe umefika!Aisee Hommie!
Hongera kwa siku ya kuzaliwa.
Sababu nyingine ya kukutana na kujadili mada ya kuzidi kulisogelea kaburi.
Mada: Besidei
Location: JJ pa ukweli
Mgeni rasmi: Kimey
Mdadhili: Big Braza ODM
Mtoa mada: Mjukuu Mtiifu Mj1
Mpanga meza: Vere vere GY
Taxi Driver: Mfalme Wa Amani Teamo TI
Mhesabu bili: Crap The Finest
Mlipa bili: Crapiest Fake Ze BigiiRiita
Wageni waalikwa mabibi na mabwana: MTM, LD, Festiledi, JS, Askofu, Kaizer, Fidel,....
Arusha Wing Nao Mnakaribishwa makao makuu...Mje na Invizibo
Happy Besdei Homu boy!
:clap2:😛opcorn::roll::tea::laugh::msela::drum::behindsofa::cheer2::lalala::A S-heart-2::A S kiss::bange::violin:😛eep::emptybath:
Hahaha Thanx hommie kuchuja nafaka muhimu kabsaa!MTM kwa kuweka msisitizo ndiye Mtatiro wa meza kwa leo
Hommie Kimey, chukua happy birthday yako kwa raha zako, hongera sana... BTW, una miaka ngapi sasa? tunataka kuchuja nafaka ("under-ages")
Pamoja sana komredi tunasogeza cku za kuishi! Maisha yenyewe ya Dowans cjui ka tutaona vitukuu vyetu!Happy birthday kiongozi,
Hongera kwa kuzidi kusogeza siku za kuishi!
ubarikiwe sana!!!!
Ogambachi ssebo! webalenyoo ssebo!hepi bes dei KIM, long live kaka
Ogambachi ssebo! webalenyoo ssebo!
Pamoja mpwa!
Thanx bi dada Nilham!happy birthday mr kimey......
Thanx my protectee!>>>>Happy Birthday my protector......
Me love u lots..........:clap2: