Mh. Rais tunakutakia kila lakheri ktk siku yako hii ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma akujalie afya tele, hekma, moyo wa upendo kwa wote na huruma kwa wanao mis-behave eti kwa mwamvuli wa democrasia na uhuru wa kuongea.Tunamwomba akujalie 50yrs nyingine ili tuwe pamoja tutakapokuwa tunasherehekea miaka 100 ya uhuru wa TANGANYIKA.Selah.