Happy birthday Halima J.Mdee

Nampenda sana kamanda mama H mdee Mungu,akujalie mtoto wa kurithi kazi yako
 
Kuna rijamaa rimenichekesha sana rinasema eti siku ya kuzaliwa au birthday sio siku ya kuifurahia kwa sababu ni siku ya kimaskini. Ni siku ambayo mtu huja duniani akiwa uchi, maskini, mlemavu wa ambaye hawezi kutembea, kusema, kula, kuzungumza, kufikiri, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…