kwa kweli mungu ambariki huyu mdada kiukweli anaweza then mchapakazi na alikataa kuyumbishwa kisiasa na anaamini ana msimamo wa dhati kabisa na ni mtii pia kwa viongozi wake anaheshimu maamuzi ya chama.bigup lady.
CCM ingekuwa imeshinda usingekuwa wa kwanza kuweka hapa. Kwa kuwa mmeangukia kichwa na shingo kuvunjika unajida unaishi AR mkuu? Tehe tehe. Na ya Oktoba mtayakimbia kabisa.