Happy birthday Halima J.Mdee

Happy birthday kamandaaa popote ulipo Mungu akufanyie wepesi katika kazi zako zote Amina.
 
1978 to 2015... 37 years, jaman vijana tafuteni wenza kwa miaka hiyo bila ndoa sio vizuri!!!!

happy birthday kamanda

Ni wapi katika vitabu vitakatifu Biblia au Quruan pameandikwa asiyeolewa au kuowa hataurithi ufalme wa mbinguni au kuiona pepo?
 
1978 to 2015... 37 years, jaman vijana tafuteni wenza kwa miaka hiyo bila ndoa sio vizuri!!!!

happy birthday kamanda

Nami naunga mkono wazo lako. Ni wakati sasa atafute mwenza kwani kwa mwanamke bado miaka michache sana itashindikana kumpata mtoto. Vinginevyo atafute rafiki anaemwamini azae nae hata watoto wawili. Vinginevyo mambo mengine kama ya kisiasa anafanya vizuri sana na imani ya wananchi bado ni kubwa sana kwake. HAPPY BIRTHDAY MAMY.
 
happy birthday mdee nakumbuka ulipokuja kigogo mkwajun kuhutubia ulisaidia sana kubadilisha mtazamo wa wakazi wa kigogo mkwajun,kweli hotuba zenu wanaukawa zimeisadia kuimwaga ccm.
 

Duuu kumbe kaenda age kiaina... Nway bado kijana.. Heri ya kuzaliwa kamanda wa makamanda..
 
Happy birthday Kamanda..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hongera Jembe Mungu akupe maisha marefu ya usiwe fisadi
 

Webale Nyabbo Halima Mdee nomukamakatonda akuwe obuwangaazi
 
Happy birthday kamanda Halima,

Sijawahi kujutia kupoteza siku2 za kulinda matokeo yako bila kulala na tena bila malipo yoyote.

Mungu akubariki na kukulinda.

Ntayalinda tena matoke ya ushindi wako October2015

Tutakuwa pamoja baada ya kumaliza kuhesabu za hapa segerea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…