muulize vzr kabisa japo kasema hatakia mashostiBabu shikamoo
Naomba nijue tunakata wapi cake ya geni
Embu tuma picha kwanza uskute nundu ya kwashakor
Yaan mishkaki tu tena nitakunywa na maji asije akaona tutamtia hasara
Mnataka assist enhee
Na bado sana wewe ulinihaid vingap sasa nmekaa kimya tu
Hata mmoja tu jamanumeona eehh!hata mmoja mmoja