Shunie nashukuru kukufahamu ntaenda mwenyewe
Mimi ni nyumba ndogo yake mkuu!......kwani wanawake hawaruhusiwi kuwa na nyumba ndogo?Kumbe mkeo dah kuna mzee mmoja asubh alisema ni mkewe pia dadekiii
hajielewii kabisaa bonitoo huyuu!!kanishinda tabia jamaan
Mie sitoi offer kwa wake za watu makinika yangu bado nayapenda
Am sorry mkuu ila kuanzia leo jua kuwa mimi ndo nyumba ndogo ya dada yakoAhaa hapo sawa ungesema sasa kama wewe ni nyumba ndogo
unanisingiza bonyyy...Kumbe Nan kuna tetere wawil walikuja Leo umewapeperusha
C Mliwekeana ahad mpka kifo kitakapowatengansha nenden wenyewe mkatenganishwe
mishikaki tu hakuna namnaa....Ahahha nimemskia ila hapo ninapopenda sijui kamaanisha nini sijamsoma bado