Bonny
Sawa nyie leten jeur tu ila msje mkanilalamikia baadae
Sasa Mie nmetafsir hayo maelekezo toka kwa asprin kosa langu liko wap
mimi huyooo...?!!Af we gen kila mingo zangu unaziingilia
unatoa hutoi???sijaombwa labda kwa id ya pili
tukale hata mishkaki bonyyySasa kama mishkak c unapenda ukwel nifiche nn na Mie ndio mnunuz
kaka angu lazimu uwe frontlineWe tangulia na asprin sie tunakuja