Woiiiiatakuwish sana na jikeki utalipata pia...!!!
umeanza lini uchonganishiii?Endeleen kujidanganya
bado watu watakuwish tuu!!dunia haina siriHakuna ukweli wowote jamaan siku yangu ya kuzaliwa naijua mwenyewe tu
Nawaza tu hapa ujue alivyosema geni eti na cake utanunuaHa ha ha kwahyi unataka kusemaje shunie
Nimeielewa sanaNishampa location hajaielwa
haaa....haya mfanye mkujeUtawaponza wenzio shaur yako
Acha niendelee kujidanganya mkuu hamna namna maana kibiti bila FFU hakuendeki
mmnhhhh!!!!bonnyyyyItafanyikia sinza kama unelegea goba hii kona ya chalinze kabla hujafika njia panda ya himo kwenye ile njia yya vumbi ya kuelekea malinyi
geni ukujeee
Umepajua enhee
Kwendraaaaa kisa cha kutupeleka huko vumbini niniii
Hivi itakuwa cake ya ngapi hiyo toka uanze kuninunuliaNtakununulia mpka Ile.unayopenda cake kitu gan kwan