Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,913
- 1,033
Hongera kwa kukumbuka tarehe yako ya kuzaliwa
Happy Birthay !!! Transparent wapi?
haya ushakuwa sasa. hongera
Happy birthday dear..
have a good one ...
happy birthday
Habari wana jamii. Leo ni siku muhimu sana ktk maisha yangu kwa kutimiza miaka kadhaa hapa duniani hivyo nimeona ni vizuri nanyi wanajamvi tufurahi pamoja.
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kunijalia uhai na afya njema.
Ahsanteni!