Happy birthday Dr. Slaa. hawa wanaoomba ustaafu ndiyo mafisadi wenyewe na kizazi chao, usithubutu, watauza kila kitu. kaza buti, hawa jamaa si wakuchekea, tamaa yao imezidi roho chafu za kishetani, usingekuwa wewe wala tusingejua List of shame ambayo mamba moja inaongozwa na mtu tunaye mtegemea kutupa muelekeo sahihi!? kutuokoa! Usichoke Dr