EE Mungu Muumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo twakuomba umjalie DR. SLAA afya njema hekima na busara na Pia Umwongezee Maisha marefu ili aweze kutumikia vyema wananchi wa Tanzania.Tunaomba na kuamini kuwa kupitia nafasi yake na chama anachokiongoza kutapatikana Tanzania njema yenye kutenda haki na pasipo dhuluma kwa wananchi.