Happy Birthday DaMie.

Usikumbushe ya mwaka jana, maana ilikuwa funga kazi, unamkumbuka yule mama alipanda juu ya kaunta na kuanza kucheza taarabu?, usiache kumwalika plz! Subi nae asikose c unakumbuka we came from long way!

BU yule mama kawahi mapemaa anajitwika tu muda huu. Sub yupo tayari bado ww . Wahi bana anyima raha mimi
 
Shukrani sana wote. Karibuni tufurahi pamoja.
 
japo nitakuwa nimelate lakini si sana, natumai umefurahia siku yako na Mungu akutangulie ktk kila jambo
 
japo nitakuwa nimelate lakini si sana, natumai umefurahia siku yako na Mungu akutangulie ktk kila jambo

Usijali Dear, Jumamosi tunasababisha tena kwa wale waliochelewa. Pamoja Daima
 

Happy Birthday Mungu akujaalie maisha marefu zaidi πŸ˜›lane: πŸ˜›lane:
 
Kontena ilifika salama, Nilijisikia tofauti kwa kukosekana kwako, au jitihada za kutoa kontena zilikuchosha
Walitaka kulichakachua kontena waondoke nalo ndio nikawa nimesimama kidete ili wasiondoke nalo
 
Hongera DaMie. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha tele. Zawadi yako iko njiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…