johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
CHAMA CHA WEZI, MAFISADI , WEZI WA MENO YA TEMBO, WEZI WA KUUZA BANDARI, WEZI WA HAKI ZA BINADAMU, WAUAJI WA BEN , MAWZO AQUILINA , COCOC BEACH SANDARUSI. ZA MAITI.......ETC ETC HONGERA KWA SIKU YENUMungu wa Mbinguni ibariki CCM
5/2/1977
Kwaya ya Wanafunzi Milongo Primary School Mwanza
ππππππ₯
Huyo ni yule Mungu wa Mbinguni, sio yule wa Erythrocyte ana ua ua tu.Yaani MUNGU abariki CCM aisee mnampa Mungu kazi asiyehusika nayo kabisa ila kwa kuwa hamna akili hata moja
Kidumu Chama tawala.....Huyo ni yule Mungu wa Mbinguni, sio yule wa Erythrocyte ana ua ua tu.
Kidumu Chama Chama cha Mapinduzi.....
.....
πππHappy birthday to Chama Tawala Ushike Dora mpaka 2090 [emoji172][emoji172][emoji172]
Hiyo ni duniani koteMoja ya mafanikio makubwa ya CCM ni kufanikiwa Kwa kiasi kikubwa kushindwa kutokomeza wale maadui watatu ujinga, maradhi na umasikini.
Hiyo ni duniani kote
Wajinga wapo, Maskini wapo na Wagonjwa wapo
Tunazungumzia zaidi ya 60% ya population wanaopambana na hizo shida, huko kwingineko unakuta ni chini ya 5% tena wengi Kwa kujitakia.
Mungu wa Mbinguni ibariki CCM
5/2/1977
Kwaya ya Wanafunzi Milongo Primary School Mwanza
ππππππ₯
Ila kwa CCM wamezidiHiyo ni duniani kote
Wajinga wapo, Maskini wapo na Wagonjwa wapo
Bashe amesema Kilombero wameingiza Mzigo wa kutosha kutoka abroad
Na ni Jambo tunalifurahia kabisa kabisa, Aibu Sana SanaBashe amesema Kilombero wameingiza Mzigo wa kutosha kutoka abroad
Kidumu chama cha mapinduzi