ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Nimefurahia babito kipenzi changu ila aliyekwambia ubadilishe picha hapo juu nani tena best jamaniAsante sana mpenzi ladyfurahia
Jibu lako liko shortcut sana...au hayanihusu!!....usinizodoe kaka.Asante sana mpenzi ladyfurahia
hahahaaaaaaaa hataki kuweka kawingu humu ndani ndo maana kajibu kifupiJibu lako liko shortcut sana...au hayanihusu!!....usinizodoe kaka.
Bt, Happy Birthday my super man Chachu Ombara
Kwa kweli.hahahaaaaaaaa hataki kuweka kawingu humu ndani ndo maana kajibu kifupi
Nini mbaya Madame?Kwa kweli.
Wambea tuende TUKI tukajibebe