mdau mkubwa sana, ujue mi napenda sana muziki wa hisia na reggae ndo yenyewe kwa mambo hayoMkuu nawe ni mdau nini wa muziki ule?
Girl you are all I need
and I'm always missing you..
Miss you, miss you
miss you miss you baby
I need your tenderness, I can't resist you....
Happy birthday to him
Eeeh ngoja nitafute hiyo nyimboJamaa mkaliii...
Kuna track yake moja hivi ngoja ninukuu..
" who is calling me from a private number....
Gangsters don't pick a private caller....
Who could that be???"
Awesome!
HBD Massive!
uuh Thanks, nishaudownload now
Check hapo jamaa rocks
Hajawahi kukosea jamaa... Sauti yake pia inachangia sana kufanya muziki wake uwe bora zaidiJamaa mkaliii...
Kuna track yake moja hivi ngoja ninukuu..
" who is calling me from a private number....
Gangsters don't pick a private caller....
Who could that be???"
Awesome!
HBD Massive!
Hajawahi kukosea jamaa... Sauti yake pia inachangia sana kufanya muziki wake uwe bora zaidi
MnoooooAnajua sana Busy Signal.....
Come over (missing you)
Heri yake ya kuzaliwa sipati picha hiyo mimoshi itakavyopulizwa leoLeo ni siku ya kuzaliwa mwanamuziki maarufu duniani kote kutoka Jamaica
Jina lake kamili ni Glendale Goshia Gordon ila anajulikana zaidi kama busy Signal ambae alizaliwa tarehe 24 jan 1982 huko nchini Jamaica.
Wengi wanamjua zaidi kwa kibao chake cha Night shift / One more night
Happy Birthday Busy Signal