ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
haaaa!!!shost kulikoni
huby wangu kawa ankal leo
au unammendea na yeye?
Lady doctor uje unisaidie simuelewi shoooo!!
haaaa!!!shost kulikoni
huby wangu kawa ankal leo
au unammendea na yeye?
Lady doctor uje unisaidie simuelewi shoooo!!
haya shost mi nilipata mshtuko we acha tu!!hahaaa nilikoseaje jamani nisamehe bure shost angu,ngoja nikaedit fasta
haaaa!!!shost kulikoni
huby wangu kawa ankal leo
au unammendea na yeye?
Lady doctor uje unisaidie simuelewi shoooo!!
hahahaaa pacha usimlaumu sana wii wetu Heaven on earth maana mi ndo nilimtambulisha kwake na kwa Eli79 as ur uncle maana shem aliniboa sana nilitaka nipate shem mpya!!!!!!!!
Hutaki msaada kwani.
hahahaaa pacha usimlaumu sana wii wetu Heaven on earth maana mi ndo nilimtambulisha kwake na kwa Eli79 as ur uncle maana shem aliniboa sana nilitaka nipate shem mpya!!!!!!!!
yesuruuuu pacha ulifikia huko?
ok nimemuelewa wifiyo Heaven on earth!!
​anakuja alikua anabadili pempers!!halafu Passion Lady mbona mbesideiwa mwenyewe simuoni humu ndani!!!!!!