Kila kitu kina majira yake
kuna majira ya kupanda na majira ya kuvuna
yako majira ya kujipendeza na yako majira ya kutojipendezesha
kuna majra ya kuwa nacho na kuna majira ya kutokuwa nacho
vilevile kuna majira ya k ufurahia na kuna majira ya huzuni YOTE HAYO NI MAJIRA NA NYAKATI TOFAUTI KWA MWANADAMU
HATUNA BUDI KUWA KATIKA HALI ZOTE ZA MAJIRA YOTE
Hivyo bestito ungana nami kufurahia majira na nyakati nzuri kwetu
leo kwani mwenzetu kipenzi chetu na rafiki yetu Ntuzu leo ni majira yake
Ni siku special kwake kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Tuwe pamoja naye best wetu kumtakia heri na afya njema kwa siku hii muhimu!
pokea kazawadi haka kadogo ka kumbukumbu ya kuzaliwa kwako

huu mwezi wa neema sana naona watu wote tumezaliwa mwezi huu kuanzi Passion LadyNtuzumuuza ubuyu n.k tena kwa siku zinazokaribiana kweli this is birthday month/week happy birthday to all of us