ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Ben Mugashe happy birthday...
Back to you ladyfurahia...
Una calender yenye birthdays za wana jf wote?
Happy birthday Ben Mugashe! Uwe mkubwa kama mimi! Kwa mama Ben Mugashe, "Ushube ushubeyo taliho mahwa!"
Happy birthday Ben Mugashe! Uwe mkubwa kama mimi! Kwa mama Ben Mugashe, "Ushube ushubeyo taliho mahwa!"
Wow.. Thanks Madam FirstLady....leo sina mengi ya kusema maana nimelemewa na Mabox ya zawadi..nikishayafungua ntashare nanyi...Mbarikiwe sana wandugu wa JF....
Hongera sana sana, Dah timing nzuri kweli ya kuzaliwa, hebu ngoja nihesabu miezi tisa nyuma.....Be blessed ila Dah huyu Mpwa wangu kakusifia sana hadi napata mashaka. Hongereni wote. Nipo safarini kuelekea nyumbani
Hahahaaaa, na hicho kitambi chako Ben Mugashe sijui msosi wa leo, lol! Na mbaya zaidi ladyfurahia kakupa zawadi ya makande, si utapasuka tumbo, lol!Muuza Ubuyu naomba Ubuyu wa Babu Ali wa Zanzibar
Maskini kumbe mimi tu ndio niko peke yangu, ayayayayaaaaaammmhm! mpwa jamani mbona hivyo tena
wataka nimsifie nani tena zaidi ya ben? kwani siku yake leo ya kufurahi
ila tambua kuwa hapa yuko mume wangu muuza ubuyu
asijeona hapa mpwa ikawa balaa bure home patachimbika ujue!!
Ben Mugashe happy birthday...
Back to you ladyfurahia...
Una calender yenye birthdays za wana jf wote?
Ahaaa you made day bright dude!
Hahahaaaa, na hicho kitambi chako Ben Mugashe sijui msosi wa leo, lol! Na mbaya zaidi ladyfurahia kakupa zawadi ya makande, si utapasuka tumbo, lol!
Ahaaa you made day bright dude!