Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 #1 Yes... It is my birthday... Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana... Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu... Ahsante Mungu .... Ahsante na kwa ndugu jamaa, wajukuu na marafiki kwa kuwa nami hadi hivi leo... CC: Wife Sky Eclat ... Tumetoka mbali mama BCC: Mchepuko Sakayo ahsante kwa faraja, bibi yako anapokuwa hayupo. Habari hizi ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo Numbisa Bonny mshana jr Inna Shunie espy emmyta Mwifwa nasubiria zawadi zenu... Huyu mzaliwa habagui vinywaji. Attachments upload_2018-1-21_6-18-2.jpeg 9.9 KB · Views: 89
Yes... It is my birthday... Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana... Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu... Ahsante Mungu .... Ahsante na kwa ndugu jamaa, wajukuu na marafiki kwa kuwa nami hadi hivi leo... CC: Wife Sky Eclat ... Tumetoka mbali mama BCC: Mchepuko Sakayo ahsante kwa faraja, bibi yako anapokuwa hayupo. Habari hizi ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo Numbisa Bonny mshana jr Inna Shunie espy emmyta Mwifwa nasubiria zawadi zenu... Huyu mzaliwa habagui vinywaji.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,560 Reaction score 41,523 Jan 21, 2018 #2 naona unazidi kula chumvi tu we mzee hbd kibabu ila kwani sky yupo wapi ?
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,330 Jan 21, 2018 #3 HBD Babu
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,133 Reaction score 28,593 Jan 21, 2018 #4 Hahahahaha..... Happy Besdei
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #5 BAK said: HBD Babu Click to expand... Shukrani mkuu... Inakuwaje haka kaspesho day kangu hujakasindikiza na yale mambo yetu?
BAK said: HBD Babu Click to expand... Shukrani mkuu... Inakuwaje haka kaspesho day kangu hujakasindikiza na yale mambo yetu?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #6 Otorong'ong'o said: Hahahahaha..... Happy Besdei Click to expand... Thank you mkatoliki mwenzangu. Leo nasimamia zoezi la kuhesabu sadaka, nakuahidi uaminfu wangu kama kawaida.
Otorong'ong'o said: Hahahahaha..... Happy Besdei Click to expand... Thank you mkatoliki mwenzangu. Leo nasimamia zoezi la kuhesabu sadaka, nakuahidi uaminfu wangu kama kawaida.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #7 MO11 said: naona unazidi kula chumvi tu we mzee hbd kibabu ila kwani sky yupo wapi ? Click to expand... Yuko chumbani kalala... Baadae ana kazi ya kuninywesha uji wa Grants...
MO11 said: naona unazidi kula chumvi tu we mzee hbd kibabu ila kwani sky yupo wapi ? Click to expand... Yuko chumbani kalala... Baadae ana kazi ya kuninywesha uji wa Grants...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,704 Jan 21, 2018 #8 unakumbuka ulichomfanyia mama yako siku ya kwanza shuleni? Hongera!
rhymson Senior Member Joined Nov 17, 2017 Posts 144 Reaction score 113 Jan 21, 2018 #9 Happy birthday to you
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,330 Jan 21, 2018 #10 Enjoy Mkuu on your very special day. Asprin said: Shukrani mkuu... Inakuwaje haka kaspesho day kangu hujakasindikiza na yale mambo yetu? Click to expand...
Enjoy Mkuu on your very special day. Asprin said: Shukrani mkuu... Inakuwaje haka kaspesho day kangu hujakasindikiza na yale mambo yetu? Click to expand...
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,505 Reaction score 2,745 Jan 21, 2018 #11 Happy b day bro, mungu akupe maisha marefu
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #12 BAK said: Enjoy Mkuu on your very special day. Click to expand... Ewaaaa.... Shukrani sana mkuu... You have just made my day!
BAK said: Enjoy Mkuu on your very special day. Click to expand... Ewaaaa.... Shukrani sana mkuu... You have just made my day!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #13 havanna said: Happy b day bro, mungu akupe maisha marefu Click to expand... Amina kiongozi... Mungu yu mwema daima...
havanna said: Happy b day bro, mungu akupe maisha marefu Click to expand... Amina kiongozi... Mungu yu mwema daima...
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 7,915 Reaction score 14,637 Jan 21, 2018 #14 Shikamoo mzee... Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa.... Sherehekea kwa amani na epuka vinywaji vikali kwa afya ya ini lako. Wasalaam wote.
Shikamoo mzee... Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa.... Sherehekea kwa amani na epuka vinywaji vikali kwa afya ya ini lako. Wasalaam wote.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #15 Mamndenyi said: View attachment 680998 unakumbuka ulichomfanyia mama yako siku ya kwanza shuleni? Hongera! Click to expand... Nakumbuka sana... Afu yeye ndo alikuwa mwalimu wangu. Nilikula bakora shuleni na nyumbani...
Mamndenyi said: View attachment 680998 unakumbuka ulichomfanyia mama yako siku ya kwanza shuleni? Hongera! Click to expand... Nakumbuka sana... Afu yeye ndo alikuwa mwalimu wangu. Nilikula bakora shuleni na nyumbani...
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #16 Mhandisi Mzalendo said: Shikamoo mzee... Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa.... Sherehekea kwa amani na epuka vinywaji vikali kwa afya ya ini lako. Wasalaam wote. Click to expand... Marahaba kijana... Ntazingatia ushauri wako... hapo kwa Red, Grants imo?
Mhandisi Mzalendo said: Shikamoo mzee... Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa.... Sherehekea kwa amani na epuka vinywaji vikali kwa afya ya ini lako. Wasalaam wote. Click to expand... Marahaba kijana... Ntazingatia ushauri wako... hapo kwa Red, Grants imo?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #17 rhymson said: Happy birthday to you Click to expand... Thank you pal...
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 21, 2018 Thread starter #19 Numbisa said: View attachment 681000 View attachment 681001 View attachment 681002 Click to expand... OMG!!! Thats so nice of you!! Thank you my girl...
Numbisa said: View attachment 681000 View attachment 681001 View attachment 681002 Click to expand... OMG!!! Thats so nice of you!! Thank you my girl...
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,342 Reaction score 77,122 Jan 21, 2018 #20 Mkuu tubariki wajukuu zako kwa kutupa usia kuhusu kujikwamua kiuchumi