Umesahau tu Mkuu... zamani Lulu Michael (huyu Lulu Mathias hata nikikutana nae njiana, wala simjui) alikuwa akitangaza kipindi cha watoto ITV tena kwa muda mrefu tu. Kapiga piga mzigo pale, baadae kibarua kikaota majani! Kama ujuavyo wana-Dar es salaam, wakaanza oh, Lulu katimuliwa ITV kutokana na tabia zake chafu! Sasa katika kujitetea ndo akasema hajatimuliwa bali umri wake ulishakuwa mkubwa kuendesha kipindi cha watoto... kwahiyo akajiongezea miaka ili kuhalalisha madai yake... ulipomuibukia mtiti wa Kanumba, akaukana tena umri ambao aliutangaza zamani...
Ahhaaah, ndo maana yeye mambo ya kuchambana hawezagi coz anajijua majanga yake
AHAahaaaah aahah, usikute kiharufu ndo kimemvutia, maana wengine wanavutiwaga na watu wanaonuka majasho, wanasemaga ndo wanapata mzuka, kuna demu alishanibia yeye anapenda sana jasho la kiume, yan akisikia ndo nyege zinampanda, nikashangaa kweli
Ata LULU wa kanumba aliwahi kufanya kazi ITV kipindi cha watoto wetu binamu, kilikuwa kinaonyeshwa jumamosi
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Super Star Actress Aunt Ezekiel + Le Big Show + Super Star JB last at jeuri ya fweza at Ridizo Club Masaki, Uptown bongo kufuru la Birthday Dinner Party la Super Star Aunt Ezekiel live!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Baang The King of Pop in Bongo Super Mega Star Diamond Platznumz himself U know + Le Big Show U know live last night at the Dinner Party ilikuwa ni balahaaaaa U know!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Le Big Show + Le Madame le gademu mtindiz U know I love it U know!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Unajisikiaje toka mwanzo wa uzi kutaja aibu za mwenzako? Unadhani wewe umekamilika 100%? Acha tabia za kipuuzi hizo huwezi kumtaja mtu kwa aibu zake mbele ya watu
Unajisikiaje toka mwanzo wa uzi kutaja aibu za mwenzako? Unadhani wewe umekamilika 100%? Acha tabia za kipuuzi hizo huwezi kumtaja mtu kwa aibu zake mbele ya watu
Nitolee umbea wako apa, kama umeona nimekuboa we ungepita zako tu, ukitaka kusoma maneno mazuri nenda kasome BIBLIA , humu ni full udaku
Huku ni kwa wambea ndugu..itakuwa we umepotea jukwaa. Au we ndo waziri wa utaliii....?
Humu hata wewe ukiwa maarufu tunakusasambua nje ndani...
Nimemwambia kama anapenda kusikia maneno mazuri akasome BIBLIA atuache sie tujimwage asituvuruge apa, halafu anaonekana mlokole huyo , yani siku izi watu wambea binamu, halafu huyu kaja uku kwa ajili ya umbea sasa sijui anatapika madudu gani,yani ni sawa mtu uende DISCO halafu ukute watu wanacheza uchi we unauliza kwa nini mnacheza uchi, huyo atakuwa mzima kweli?
Wenyew wanakazana na mapafyumu ya milion moja lakin bado pafyumu na jasho vinajitenga yan ana kwapa kali mno, aunty ana nyama nyama flani iv halafu nzito so ikipata jua na joto binamu walahi hatukai
Sasa akipata ajali ya moto si atageuka kuwa nyama choma tena au mishikaki ya Mangi?!
Duh, hao si bure, watakuwa na jini Sufiani hao... hilo jasho lako mwenyewe tu majanga bado ulitamani la mwenzako!AHAahaaaah aahah, usikute kiharufu ndo kimemvutia, maana wengine wanavutiwaga na watu wanaonuka majasho, wanasemaga ndo wanapata mzuka, kuna demu alishanibia yeye anapenda sana jasho la kiume, yan akisikia ndo nyege zinampanda, nikashangaa kweli
Hahahaa haaaa
Maskini nimemuonea huruma
Kuna kipindi aliwahi kusema kuwa hamuogopi mtu wala MCHAWI, bongo movie nzima inamjua, hayo maneno alikuwa anamwambia mwengi sijui yule demu wa moze iyobo, sasa mi nikajiuliza bongo movie wanamjuaje? Kwa uchawi au? Kwa mtindo huo wasinuke vikwapa na papucho mchezo, kanisani/msikitini hawaendi Mungu wao amekuwa MGANGA, kurogana na kuibiana mabwana kwao ndo fasheni, wengine tunaambiwa kuna baadhi ya WASANII BONGO MOVIE wameshakufa zamani, ila wanatembea wakiwa wafu hai, siku yeyote wanakufa mazima, yani ukisikia mambo ya bongo movie hutatamani kuangalia movie zao wala kuigiza, wachawi mno kwa kweli, ipo siku mambo yao yatakuwa peupe
Make up imezidi cheusi dawa, umekuwa kama sanamu la michelin, u look sexy though ,black is always beauty,pendeza sana HAPPY BIRTHDAY mrs Demonte.