aliyekwambia mm ni CHIPUKIZI NI NANI hebu nitoe katika hiyo list ya machipuzi hujui kuwa mm ni MSTAHIKIMEYA WA CC TOA JINA LANGU HAPO KABLA SIJA😛hoto:😛hoto:😛hoto:
Ameen my dear OLESAIDIMU nimefurahi tutafungua mziki wote
nielekeze kwenye lindo Kaizer....Wallah laadhim lazma tugongeshe glasi kwa sana..hebu mchek Karucee untoroshe aje...mimi amu nammudu hao wapiga gambe maarufu afu King'asti atawaongoza wale wa cha arusha na malawi. ladyfurahia atawaongoza wageni wengine wote...huyu kabanga tunpange getini asaidiane na Polisi? Kuna kina Mr Rocky wameapa kuzamia na hawajaalikwa😱
Mamndenyi ebu mtulize ladyfurahia ana fujo sana kwen party
Ameen my dear OLESAIDIMU nimefurahi tutafungua mziki wote
Wallah laadhim lazma tugongeshe glasi kwa sana..hebu mchek Karucee untoroshe aje...mimi amu nammudu hao wapiga gambe maarufu afu King'asti atawaongoza wale wa cha arusha na malawi. ladyfurahia atawaongoza wageni wengine wote...huyu kabanga tunpange getini asaidiane na Polisi? Kuna kina Mr Rocky wameapa kuzamia na hawajaalikwa😱
Ameen my dear OLESAIDIMU nimefurahi tutafungua mziki wote
Woow Kaizer am sooo happy kwa kunijali kiasi hicho..name nasema asante sana ninepokea wishes zako... wape salam wifi zangu
Pole shostito atarekebisha usijali... asante sana kwa birthday wish...karibu party
Hahaaa mbavu zangu mie, jaman me bado mgen kwenye hii familia siwez vaa kgaun kfup full vtenge apa wif yang shaid.