mic you too dude
mwaaah....... Ila nakuchukia
Thanks my
Nakupenda sana mpenzi.
Asanteni Arusha wing me penda nyinyi sana.. much love Filipo IGWE Tony kp Cantalisia Blaki Womani Smile Lily Flower marejesho sweetlady KOKUTONA
Amen mtumishi hili jisong linanipa mzuka wa maombi
Kuna mkakati wa mama Lady doctor, miss neddy na Kaizer kututenganisha.
Kila mtu hapo ana nia yake. Lady analinda ndoa yake, miss neddy anakutaka na Kaizer anataka kuleta ubazazi wake kwangu. Amefikia kuukana ubazazi.
Hebu do ze nid fuli bana!
weee nitakuja kuvunja mlango
afu siku hizi tunawaacha na hizo nyumba ndogo zao
na sie tunatafuta nyumba kubwa, Ruttashobolwa nimemfaulisha
kwa babe Paloma na mimi nimejimuvuzisha kwa babe sosoliso
so na wewe tafuta big house tu!!
​hongera pacha,ngoja na mm niongeze!!mbona ninazo mbili...... Ila siri yako pacha
Watasema mchana na usiku watalala
Hebu come zis way my love!
mie nakupenda kiduchuu
ngoja nije kwanza kwenye yale maeneo yetu ya maombi