kumbe unatabia mbaya.
Mwaaah!! Me pendaga veve sana my love!
mhhhhhhhh huyo mtoto ameshakuwa mkubwa hata ukimpata ule upendo wa asili juu yetu hautakuwepo bora umuache huko huko kwa bepari
Good Morning My!
Doctor ..........!!
bebii kawivu kamekuingia? Basi sitomtafuta mwaya sawa mama angu?
Halafu naomba kufahamishwa... Karucee Lady doctor miss neddy mna nini.nami? Hamtaki nile pasaka kwa amani?
hahahaha hapo sawa
staki upendo wako kwangu ugawanyike kwa mbili lol
usijali my dear mamiyo iko penda sana wewe
Mama na mwana nawaambia hivi, kwa Eiyer mtavuna mabua.
Something wrong?
Yeah...... Mapepo yamevamia mji wangu mtumishi