Ha ha ha ha.....Dahh kisa umeambiwe u-fill free na ku-enjoy..
Born today. 3....years now. Happy birthdate Petro Eusebius Mselewa!
Asante Master!Happy birthday mkuu!
Asante Mkuushikamoo kaka mkubwa heri ya kukaribia kufa no kuwa mzee no kuzaliwa..
Asante Mkurugenzi MtendajiHappy birthday to you.....
...........hahaha shemmmmm..........
Bado naona maruweruwe..
Asanteni wote,kwa heri zenu zote,salamu zenu nyote. Msengwi sana! Mgona bwina.Tafsiri ya hapo mwisho mtafuteni VUTA-NKUVUTE snowhite na @fp
NDIYO MkuuMkuu,wewe ni mngoni?