Happy birthdate to me!

Afya njema, na mafanikio at your daily activities.
 
sefu hafiki pale john anafika
BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAS MAMBO YENU YA CHUMBANI MUMALIZE HUKOHUKO LOL Madame B NA Blaki Womani
:focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus:
 
Last edited by a moderator:

nivea jamani,
mtu na mke mwenzake si mbaya kuulizana hali.
Khaaa!
Unachakachua thread ya watu.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday kaka...wish you Gods blessings n ur dreams come true.

Msalimie yuleee anko wako uliemuandikiaga barua.
 
wakuu madame b na black womani na nivea mnaniharibia uzi wangu. It is unfair
lol, huna fadhila wewe mimi nimekuaidia kuwarudisha kwenye topic unaniambia nimekuhribia uzi wako hebu rejea nyuma uone nimekuharibia wapi?unitake rdhi haraka sana hata hiyo hb wish hujaiona hakika we mgeni
 
..........Tena Akulipe na Fidia ya Kukudhalilisha.........
 
lol, huna fadhila wewe mimi nimekuaidia kuwarudisha kwenye topic unaniambia nimekuhribia uzi wako hebu rejea nyuma uone nimekuharibia wapi?unitake rdhi haraka sana hata hiyo hb wish hujaiona hakika we mgeni
Apology. Lakini,mimi si mgeni. Nilikuwa hapa tangu 2009....lakini kwa jina bandia kama lako. Sorry for accusation. You, blacki womani and Madame B must feel free and enjoy!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…