Happy besdey to ME!

kambi popote eeh.

ataoga haina mbaya, tena tutamsugua na machicha ya nazi na kumpaka mafuta ya mzaituni.

Happy birthday snochet
Mungu akuongee furaha na maisha marefu na ya upendo!

Naomba kumwomba dada yangu kipenzi AshaDii awe mwenyekiti wa sherehe hii na hivyo awateuwe wanakamati kuanza maandalizi.
N.B
Naomba sweetlady na cielo muandae cake ya ukweli na Nicas Mtei andaa card nzuri kubwa ya mtoto huyu alozaliwa leo.
snowhite na Mamndenyi hakikisheni mtoto anaoga na kupendeza.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom