Happy b'day Freeman Mbowe (KUB)!!

Happy bday mwenyekiti wangu Kamanda mkuu Freeman Mbowe.
Mungu akupe nguvu uishi miaka mingi.
 

Sijui ni lini ccm nyie mtakubali kutumia akili japo kidogo. Well, siku hizi hatutegemei magazeti ya uhuru na daily news au radio tbccm kupata habari. Naongelea madai yako ya Mh Mbowe kutumia Shs 5,000,000 KWA SAA kwa kusafiri kwa Hellicopter.

CHADEMA hawana (na hawajahi japo kukodi) hellicopter yeyote ambayo ni twin engine. Hellicopter za kivita aina ya Apache ni twin engine na zinatumia gallon 62 (karibu lita 283) kwa saa, hii ina maana zinatumia chini ya Shilingi LAKI NANE kwa saa kwa kutumia bei za mafuta za Tanzania. Hata ukisema CHADEMA wanamlipa rubani USD 1000 kwa saa na jumlisha na engine hour/depreciation, milioni 5 kwa saa umeipataje?

Wenzenu tunaoishi kwa kutumia akili zetu bila kubebwa tuna akili za ajabu siku hizi. Kamwambie kikwete ukweli huu (kama unaweza that is maana najua ukisema ukweli kibarua chake kitaota magugu) kuwa zama za kudaganya Watanzania ZIMEKWISHA!
 

Kama sitakichangia chama faida yangu ni ipi? Mimi nitakuwa sina faida na sina historia ya chama,
 
Duniani kuna watu na viatu sijui wewe uko kundi gani.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Watu wanaopinga biashara ya madawa ya kulevya na dhuluma kama anazofanya Mbowe.
 

M4C imekutekenya kulekule kunako mpaka unatoa ushuzi! chezeya cdm weye
 
...Now ana miaka 56 na nchi ya 'Ahadi' haijapatikana nawakumbusha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…