Ameijenga kwa maslai yake, ogopa mtu anaruka na chopa inayotumia 5,000,000 kwa saa moja, lkn anachangisha mia tano ya wananchi ambayo ameitafuta kuanzia asubuhi mpaka jioni, kama kweli alikuwa anawapenda wananchi kwa nini hiyo ela ya kupaa hewan asingetumia kujenga chama na kusaidia wananchi, usafiri anaweza kutumia gari tu kwanza la kawaida kabisa ambayo anaweka fuel 300,000 anazungunga arusha nzima na moshi,