Mungu wangu
umemshukuru kwa kukuweka mzima hadi leo??
unaposema unamatatizo na kulalamika hovyo ukiangalia wengine utajiona wewe ni mfalme
Chukua dakika chache kujua kuna ambao bado wanapigika.. Happiness where are you? Happiness why you don't like me?
View attachment 128923
Wanasiasa ndio wanasababisha yote haya, wanachochea machafuko, tunaanza kupigana sisi kwa sisi, mwisho wa siku wao na familia zao wanakimbilia ughaibuni na kutuacha tukipambana na matatizo kama haya! Ukimuona mwanasiasa anayependa mchochezi kaa naye mbali sana!
Uwa namshukuru kila ninapoamka na ninapoenda kulala na ninamuomba anilinde kila siku...
ukikaa tu mamako kafa duu what a hustle na bado mtu anaamini mungu yupo wtf..Chukua dakika chache kujua kuna ambao bado wanapigika.. Happiness where are you? Happiness why you don't like me?
View attachment 128923
nani huyo tena mkuu..Uwa namshukuru kila ninapoamka na ninapoenda kulala na ninamuomba anilinde kila siku...
nani huyo tena mkuu..