Happiness Magese Na Miriam Rose Wazipiga LIVE NY

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Kwa wapenda umbea, jana rafiki yangu wa karibu Mange Kimambi kanipa habari kwamba supa modo Miriam Rose na Happiness Magese wamezichapa kikweli kweli, chanzo, ni kupigania Mume, makubwa tunaomba mtumwagie nyingine wakuu
 
mh huyo miriam rose ni nani?na blog yake ya fasheni ndio ipi anayeijua atuwekee lol,umbea rahaaaaaaaaa
 
Mirium Rose aka RoseMery Kokusijui nini ni yule demu aliye kua anamtolea macho JK alipo kua ziarani New York.
 
Magesa kama ni kweli kajishusha hadhi,na huyu sijui kokunani ndio nani tena:washing:
 
udaku, weka picha basi ee

millet-president-jakaya-kikwete.jpg
 
We nawe huyo Mange ni muongo hakuna model anaitwa miraiam rose Millen kazichapa na Rosemary wa fashionjunkii
 
yes mdau ndo huyo huyo Kokuhilwa Rosemary lakini ni umbea wa Mange anaependa kushadadia maugomvi ya watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom