Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

Anazungusha nyonyo!!!? nan tena
 
Huna Adabu wewe swali gani ilo?
Sina mashaka na taarifa yako Ila nina swali moja la msingi... Huyo ndugu yako alikuwa na maradhi mengine tofauti na Corona?

Nataka nijue Kama hili gonjwa linaweza kumng'oa mtu hata Kama Hana magonjwa mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…