Wanyama pori walikua darasani, mwalimu akauliza, "nani mwenye masikio makubwa?", Simba akacheka sana kisha akajibu, "punda", wanyama wote wakamcheka punda, mwalimu akauliza tena, "nani mwenye 'ombo' kubwa"?, wanyama wote kimya, Punda akageuka kwa simba akamwambia, "jibu tena sasa khanithi mkubwa wee"!, "ubabe mwingi 'okibo' kidogo"!