Hapokei simu wala kujibu sms zangu

Anakupenda lakn yuko buzy kuna mambo yanamkp buzy lakn bado anakukumbuka ndio maan kabla hajalala anakutext ili ujue bado mko pamoja na anakukumbuka.. Japo yahitaji moyo kuvumilia hali hiyo
 

tulia wewe ! papuchi si unapewa? kama PAPUCHI unapewa hata asipojibu sms
 
Kuna possibilty kuwa ameloose interest na wewe, au kapata mupenzi mwingine ila sometimes anakukumbuka; esp usiku. Mwambie mkutane muyamalize, kila mtu ashike hamsini zake

Ni kweli kabisa kuna kitu nyuma ya pazia-ndo maana nachelewa kuoa,sasa hapo I love you ya nin tena,cwapendi
 
Na wkt mwingine na hilo jina lako linahitaji mtu atafakari mara mbili kabla hajakubali
 

pole sana mussa makamba
 
Last edited by a moderator:
Halafu HILO JINA UNAWAAIBISHA WENYE NALO. WAO HUWA HAWALALAMIKI,WANATENDA TU.IMEKUAJE UNACHAGUA JINA AMBALO HUENDANI NALO? HEBU CHANGE HILO AL SHABAAB!!!
Bro kuna uwezekano wakubadilisha jina kumbe??ebu nisaidie nifanyaje ili kubadilisha??
 

Kadri unavyozidi kukua kwa umri na kimo utakuwa unapata majibu mubashara ya tatizo lako.
Kwa sasa hata ukipewa majibu/ushauri akili yako haipo kwenye nafasi ya kuelewa.
 
mtumie hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…