Hapokei simu wala kujibu sms zangu

hapo ni kumkaushia mwanzo mwisho...na hilo jina lako lazima uwe mbishi..
 
Mhhhhhh!Kama unaweza mfanyie 'sapuraizi' ila utakachokikuta ukubaliane nacho.
 
nilishaongea nae akanipa sababu kuwa
betri ya simu yake mbovu
nikawa nimemnunulia mpya
Viva89

Kwa hiyo sababu tu huna chako hapo mkuu, "CHEPUKA NJIA KUU IMEZIBWA KWASABABU ZA KIUFUNDI"
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo umeambiwa kazaliwa kwajili yako? Kabla hamjapendana hakuna waliopita?
basi na yeye ahesabika kuwa naye ulishampitia full stop
 
Hiyo inayoingia ukiwa unataka kulala ni scheduled sms kasahau kuipiga stop pole Al-shabaab
 
Last edited by a moderator:
Halafu HILO JINA UNAWAAIBISHA WENYE NALO. WAO HUWA HAWALALAMIKI,WANATENDA TU.IMEKUAJE UNACHAGUA JINA AMBALO HUENDANI NALO? HEBU CHANGE HILO AL SHABAAB!!!

mapenzi hayana baunsa Deo Carleone
 
Last edited by a moderator:
Atakuwa anakuogopa maana matendo yako yanafanana na ID/USER NAME yako hapa jf.
 
Ushauri wangu soma kwanza mapenzi utayakuta umri wako unajichanganya tu kwnn ujichoshe bd mdg mapenz ni vurugu tupu hasa ktk age hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…