The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter
-
- #21
Khaaaa!!! Hizo ni hasira zake baada ya kukopa juice ya Sayona na kushindwa kulipaKloro hafai hachelewi kuanza kumtongoza wife
Hahaha... Kumbe ndo zake eeh?... Afu jana alikuponda eti unavaaga majoho ya graduation afu unatinga nayo disco...kumbe zilikuwa hasira za kunyimwa mwaliko..
Uporoto hakumpa labda alimpatia felow tablet aka babu Asprin...Nilimpa Klorokwin akufikishie kadi lazima atakuwa ameingia nayo mitini kama hakumpa swahiba wake Uporoto sijui
Hahaha!!!! Sizinga mbona unamwaga mchele hadharani banaMkuu kuna member utamuua kwa kijiba cha roho...kapost sredi moja kwamba kazimika vibaya sana na swaga zako, so akiona umeshaoa anaweza kufa kwa mawazo coz ni she na alikuwa anakupenda mbaya!! ngoja tuone, waenda kimya sana, hata vikao vya harusi hukutuambia. Congrat boy
Uporoto hakumpa labda alimpatia felow tablet aka babu Asprin...
Hahahaha... Sayona inamshinda kulipa?? Aisee kwisha habari yake kloro...anavyong'ang'ania tumuite muheshimiwa?? Muheshimiwa gani anashndwa kulipa sayona?Khaaaa!!! Hizo ni hasira zake baada ya kukopa juice ya Sayona na kushindwa kulipa
lmao!!!!!!asprin alikuwa ameenda ukweni na hakuna mawasiliano so ikapotelea humo na kabla ya kuondoka aliwasiliana na mbu ambaye nae aliumwa malaria sugu
Gia yake hiyo ya kukopa nasubiri aje kwangu aniazime soksi na raba maana kijijini kwao ndio Obama waoHahahaha... Sayona inamshinda kulipa?? Aisee kwisha habari yake kloro...anavyong'ang'ania tumuite muheshimiwa?? Muheshimiwa gani anashndwa kulipa sayona?
Hahaha.... Usishangae akakuazima suti ya ndoa...hao wanakijiji kazi wanayo...Gia yake hiyo ya kukopa nasubiri aje kwangu aniazime soksi na raba maana kijijini kwao ndio Obama wao