Hapo vipi????

Tunaandamana, bifu letu waturudishieee
 
Kama anataka msamaha wakweli aombe msamaha wa kweli.

papaa maglass
 
Kama anataka msamaha wakweli aombe msamaha wa kweli.

papaa maglass
Mkuu papaa maglass piga kazi zako tu utafute mkate wako wa kila siku mambo mengine achana nayo, Chama kinachojiita cha waandishi wa Habari hawajui urafiki wa Hawa majamaa wamedandia tu kwa mbele, star TV wamewaacha na Sasa Ruge anawaacha bado itv mchezo uishe.
Gwajima anatamani kufa huko aliko [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mgogoro hadi ulisababisha Hamorapa kuijua Bastola live na kudhihirisha mbio zake kama Usain Bolt!

Haiwezekani bana utatuliwe kirahisi rahisi hivyo
 
Mimi napiga kazi zangu tu ila nimechangia maoni yangu kama wewe ulivyoanzisha uzi.

papaa maglass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…