Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,045

Kwetu upo wik hii yote
hiyo mzee afadhali kuwa kimya tu mana jamaa wa tanesco wamo humu!!

Mkuu wapi huko? Najua Ikulu na Mochwari zote ndo haukatiki. We uko wapi kati ya sehemu hizo?

kwetu wanaogopa kuukata.............

kila siku upo, mi mfawo huwa nausikilizia kwenu tu.