hapo ukitokea tu umeishaa

Unaisha chap. Mi ndo nikiwastukia nikawapiga picha.
 
Hapo mwenye haki ya kufanya hivo ni huyo mmoja tu wa kinguo chenye red
 
Wakiyarusha ndio utacheka unaweza kuta yakaishia hapo hapo na wakampiga mwenzao wa mbele
 
hao wa pembeni talaka yao hapohapo wangepata
alafu nakufa na huyo wa kati
 
itakuwa kuna jamaa labda kawatafuna wote halafu mwisho wa siku wakajuana,kwa hiyo akitokea tu wanaye.
 
Yaani hapo ukitokea ghafla
wanaweza kutimka bila hata
kuyatumia hayo mawe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…