Hapo sasa!!!!!!!!!!!

Msuguano unapungua baba ulikua huna habari, wenye kupenda mavitu makavu pekupeku ndo wako kwenye hatari zaidi! Nendakitengo muhimbili ukapate somo!

Itanibidi nijipange, haraka niende nikapate kaelimu.
Huenda kakanisaidia!!!!
 
Hahahahahah lol! Acha hizo saudari mdada kajirusha kwa raha zake kwa sanaa hadi katoka jasho :behindsofa: kwenye nonino

Mtu unacheza mpaka jasho linatoka kwenye nonino.
Ama kweli raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa!!
 
Mfereji wa wima....:becky::becky:
 
Kuna watu wana ugonjwa wa kushindwa kushikilia yurini, so yaweza kuwa mgonjwa
 
Mhhhh sitaki kuamini ninachokiona mi nahisi ni rangi tu ya suruari si unajua fasheni zetu za siku hizi?
 



Tena Diamond mpaka ule msuguano wa mavi kwenye chupi ulikuwa unaonekana. Dah, mambo ya kuiga bwana yana taabu kweli kweli.
 
Mkuu hiyo kwenye rangi nyekundu ni aina ya GARI, au ulitaka kusema SPHINCTER MUSCLES?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…