Habari wakuu poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Mimi ni binti miaka 26 nina mume coz nimeishi nae zaidi ya miaka miaka3 na mahali ametoa na pande zote mbili wanafahamu ilo
Tatizo ni kuwa kila siku napoteza wivu kwa mume wangu yani ule wivu wa mwanzoni haupo tena nilihisi ni kipindi tu kile cha mimba na kero zake za kurudi alfjir mara kachepuka ila hata akijirekebesha bado namuona kawaida sana imefkia hatua hata arudi nyumbani kalewa kesho yake nina kuwa na amani kabisa wala sipigi simu kumuuliza chochote yani tupo kawaida tu sina muda wa kugombana nae wala kujibishana nae tena kuhusu makosa yake nimebaki kumuangalia tu yani nafanya majukumu yangu kama mke kwake lakini wivu wala wasiwasi sina tena na sio kama namchepuko sina wala sijawahi kumsalit tangu niwe nae.
Nisiwachoshe jaman . iv ni kawaida katika mapenzi hiyo hali ipo kadri siku zinavyozidi kwenda au visa vya mwanaume vinafanya mtu uchoke ubaki una muaglia tu alafu mwisho wake nini apo si ndoa inakufa au natakiwa nifanyaje labda kuna sehemu nakosea msaada wakuu matusi hayafai sio lazima ucoment