Aaaaaaah! Wapi! Mwambie mkeo mdogo wake anakutaka! Baaaaaaaaaaaaass! We muhadae akutumie sms za kimahaba ndo ushahidi huo, msemehe kwa mkeo, mpe ushahidi!
Huyo shem hata akija kusemelezea ataonekana mnafiki na maneno ya mkosaji! Anaewahi Kushtaki Polisi ndo Mwenye Haki! Anaekuja nyuma hata kama ana haki anatupwa ndani maana anakuta RB inamngoja!
Tatizo akiingia hapa nimdanganye vipi? Maana jielewi elewi kwakweli.
Unachofanya ndicho mkeo anachofanywa,dada zako wanachofanywa,wazazi wako etc etc...
Cjui kwanini wazinzi huwa mwadhani nyie ndo mnaopiga tu...ilhali na wewe wagongewa kama kawa... What goes around comes around...
Two wrongs don't makes it right..
Kama umefanya kosa la kwnz unataka kulicorrect na kosa la pili utakua na matatizo ya akili.Achana na hicho kifaranga deal na namna ya kusolve tatzo la kumcheat na madha house either umwambie ukwel kwamba umeteleza na kufanya huo ujinga but ni kwahyo siku moja na kwa vile umejutia na hutaki itokee tena pendekeza mpango wa kuhama na mtafte nyumba nyngine...na hicho kitabia chako kife
Kanajifunza uandishi...Umeanza tena baada ya hii https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/393922-sitaki-kuamini.html
duu!
mkuu
uko
makini
sana,hòngera
kwa
hilo.
Kanajifunza uandishi...
Mkuu si unafanya kimya kimya..au hujui ile kitu watoto wa mjini wanaita silent killing....Naogopa miaka thelathini jela. Siuna jua sheria zetu? Mahakama haitanielewa kuwa alitaka mwenyewe kwakweli hapana kwahilo sithubutu.
Hivi enhee! Nita jaribu. Lakini uwoni nitagombanisha familia? ( mkewangu na shemeji yangu )