Jinsia yako PleaseHeri ya siku ya Leo ndugu zangu.
Jumapili ya Leo imekua ya baraka kwangu, nikiri mimi na dhambi sasa basi hasa uzinzi nimefuta namba zote za waliokua wazinzi wenzangu na sasa naanza na bwana..Eeeeh Mungu wangu uniongoze
Nakaribisha marafiki tujengeke kiroho kwa kuacha mambo ya mwili. Asanteni
Nakutia moyo uache kabisa, nami naomba uniombee nisifanye tenaHeri ya siku ya Leo ndugu zangu.
Jumapili ya Leo imekua ya baraka kwangu, nikiri mimi na dhambi sasa basi hasa uzinzi nimefuta namba zote za waliokua wazinzi wenzangu na sasa naanza na bwana..Eeeeh Mungu wangu uniongoze
Nakaribisha marafiki tujengeke kiroho kwa kuacha mambo ya mwili. Asanteni
Heri ya siku ya Leo ndugu zangu.
Jumapili ya Leo imekua ya baraka kwangu, nikiri mimi na dhambi sasa basi hasa uzinzi nimefuta namba zote za waliokua wazinzi wenzangu na sasa naanza na bwana..Eeeeh Mungu wangu uniongoze
Nakaribisha marafiki tujengeke kiroho kwa kuacha mambo ya mwili. Asanteni
Amen[emoji120][emoji120][emoji120]Nakutia moyo uache kabisa, nami naomba uniombee nisifanye tena
Amina.
Tusali:
Ee Baba Muumba mbingu na nchi, tunakuja kwako kwa unyenyekevu, naomba utusamehe dhambi tunazotenda ikiwa ni pamoja na uzinzi, tujalie tupate nguvu ya kuzishinda tamaa hizi za mwili zinazotudhoofisha akili ili tusifahamu mambo mema uliyotuandalia huko mbinguni iwapo tutashinda dhambi, mjaliye pia huyu alumn wa JF apate ushindi wa uhakika.
Nakushukuru kwa kuwa ombi langu utalifanyia kazi.
Naomba kwa jina la mwanao Yahushua. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutia moyo uache kabisa, nami naomba uniombee nisifanye tena
Amina.
Tusali:
Ee Baba Muumba mbingu na nchi, tunakuja kwako kwa unyenyekevu, naomba utusamehe dhambi tunazotenda ikiwa ni pamoja na uzinzi, tujalie tupate nguvu ya kuzishinda tamaa hizi za mwili zinazotudhoofisha akili ili tusifahamu mambo mema uliyotuandalia huko mbinguni iwapo tutashinda dhambi, mjaliye pia huyu alumn wa JF apate ushindi wa uhakika.
Nakushukuru kwa kuwa ombi langu utalifanyia kazi.
Naomba kwa jina la mwanao Yahushua. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayeacha dhambi huwa hatangazi, itakua neno la leo kanisani limekutisha nakupa siku 3 tu mtaani utaanza kuzini upya tena kwa kasi zaidiHeri ya siku ya Leo ndugu zangu.