Hapana chezeya mujini >>>>>>>>>>>>>>

Amekuja kutafuta maisha au kuwatafutia maisha Mbu? aendeleee kuwa mvumilivu ipo siku sakafu itageuka bed ya 10x10, gazeti litageuka Blanket la 10x10.
 
ukifika mujinikati mida ya saa kuminambili asubuhi utawaona wengi sanaaaa hadi vitoto..........
 
na maisha yanasonga,ole wako umwambie rudi kijijini utajuta...
 
Mr Rocky unajua nina radi ya buku jero natembea nayo mfukoni?

Hiyo itakua chamdoli ya kuunguza nguo tu,watu wana import za sumbawanga kitu kinashuka saa 7 jua kaliii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…