Jeshi linaloweza kutumika vema au vibaya. Wanawake tushikamane hawa wanaume wasitusumbue na kututawala. Bado wamama wengi wananyanyaswa na wanaume... hii sio sawa
Khaa!! Mbona tunaambiwa kati ya siku 3 - 5 kwa mwezi huwa nusu vichaa kwasababu za kibiologia? Mbona tunaambiwa tuishi nao kwa akili? Mbona tunaambiwa mwalimu wao ni kipofu? Nauliza tu..
Note: Nina bibi, mama, shangazi, dada na shemeji..
Ndio hapo tuchambue na kutafuta kwa pamoja kwa nini mwanamke huyu huyu leo ni kichaa, kiesho ni shujaa, mara uishi nae kwa akili....... hapo ndio napatafuta